Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.
Piga 0777906732
Whatsap 0683325564
Vipo km 8 kutoka kiwanda cha Nyati Cement,
Hii inatoa fursa ya kupata saruji kwa bei poa.
Vipo km 8 kutoka kiwanda cha Nyati Cement,
Hii inatoa fursa ya kupata saruji kwa bei poa.
hivyo viwanja viko umbali gani toka daraja la kigamboni?
Kaka nenda boko ,tegeta bei za cement tofauti na gongolamboto,utajua advantage ya kukaa karibu na kiwandaHahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
Kaka nenda boko ,tegeta bei za cement tofauti na gongolamboto,utajua advantage ya kukaa karibu na kiw
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.
Piga 0777906732
Whatsap 0683325564
mimi nauza Kibamba sqr metr 400 kwa 2m.
means 20X20 mtrs.
Itakua anaamini kua kukaa karibu na mahakama ndo kujua sheriaHahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
Halafu ardhi yake ni tambalare,hewa safi pia maji ya kumwaga.Kigambon inakuwa kwa kasi sana
Mkuu nahitaji 1200sqm ntavionaje na hati nitapata baada ya muda baada ya kulipa?
ujirani mwema huwa unazingatiwa daahHahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
Huko mwasoga ndo upande gan? Njia ya geza au njia ya kibada to kongowe?Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.
Piga 0777906732
Whatsap 0683325564
Kibada to DSM ZooHuko mwasoga ndo upande gan? Njia ya geza au njia ya kibada to kongowe?
Kwani hujui kwamba kukaa karibu na benki ni fursa ya kuwa tajiri?Hahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
Duuh Tz nuksiiiKwani hujui kwamba kukaa karibu na benki ni fursa ya kuwa tajiri?
Hapa ndio umepoharibu.Vipo km 8 kutoka kiwanda cha Nyati Cement,
Hii inatoa fursa ya kupata saruji kwa bei poa.