Samahani, hilo daraja tutajua tunalipia au?
Kama tutalipia ushuru wa daraja afadhali lisijengwe ila kama ni free kama la manzese poa tu
mkuu,
makandarasi gani yamekuwa awardered?
Wakuu,
Nipo kwenye hafla ya kutia sign ujenzi wa daraja Kigamboni.
Magufuli anaongea sasa!
UPDATE:
Hafla ilikuwa Serena na Clients ni NSSF na MoW kwa share ya 60 kwa 40.
Mkandarasi aliyeshinda zabuni ni CMBEC.
Shughuli imeisha hapa Serena hotel
Hiko ni kifupi cha nini? Chines .......or something else?
Hamna cha bure ndugu nakupa mfano nilipokuwa China kutoka hangzhou kuna barabara mbili ... Ya chini ambayo ni free utatumia masaa ma nne kufika shanghai na kuna ya juu hangzhou - shanghai express way masaa mawili ... Hiyo inalipiwa itakuja kuwa bure mpaka bajeti ya pesa iliyotumika irudi...
Chinese Ministry of Building Engineering and Construction :A S embarassed:Hiko ni kifupi cha nini? Chines .......or something else?
Msanifu aliyechora daraja la Kigamboni ni kutoka Misri anaitwa Mohamed Shohayeb wa Arab Consulting Engineers
Msanifu aliyechora daraja la Kigamboni ni kutoka Misri anaitwa Mohamed Shohayeb wa Arab Consulting Engineers