House4Rent Kigamboni apartment for rent

NANGAI MSUMI

Senior Member
Apr 12, 2015
146
94
Call 0652 180 400 Kigamboni city apartments for rent. One Master bedroom, kitchen and hall. Price is 200,000 / = Tsh Per month. They depend on everything water and electricity.

IMG-20220408-WA0003.jpg
 
Chumba kimoja Cha kulala Master,jiko na Ukumbi, Zipo Nyumba Tisa sehem moja.zimejengwa Kwa mpangilio wa kisasa. Zinajitegemea maji na umeme. Pia Ndani kunajengwa supermarket. Tsh 200,000/= Kwa mwez.karibuni Sana.

IMG-20220408-WA0009.jpg
 
Shida ya kigamboni ni maji tu, habar ya kuanza kutumia maji ya chumvi jau sana
 
Call 0652 180 400 Kigamboni city apartments for rent. One Master bedroom, kitchen and hall. Price is 200,000 / = Tsh Per month. They depend on everything water and electricity.. View attachment 2189342View attachment 2189343View attachment 2189344View attachment 2189341View attachment 2189345View attachment 2189346
Sasa mkuu unazungumzia Majoe na Kigamboni mi Kama unazungumzia ncji mbili tofauti. Kigamboni n sehemu ya KISHUA. Ndio maana unakuta vitu ni gharama hasa nyumba na Viwanja. Thamani ya Nyumba au kiwanja ni wapi kinapatatikana. (LOCATION). tambua ilo Kuanzia Leo
 
Wakati majohe napata vyumba viwili masta sebure na jiko kwa laki na nusu.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa mkuu unazungumzia Majohe na Kigamboni mi Kama unazungumzia nchi mbili tofauti. Kigamboni n sehemu ya KISHUA. Ndio maana unakuta vitu ni gharama hasa nyumba na Viwanja. Thamani au gharama Nyumba na kiwanja ni wapi kinapatatikana. (LOCATION). tambua ilo Kuanzia Leo
 
Kigamboni city appartments zipo sehemu gani ? Umbali ni kiasi gani from barabara kuu ? Na je Kuna hela ya udalali au ndo kodi moja kwa moja chief ?
Kodi Kwa mwez ni Laki mbili. Dalali n maelewano. Karibu
 
Sasa mkuu unazungumzia Majoe na Kigamboni mi Kama unazungumzia ncji mbili tofauti. Kigamboni n sehemu ya KISHUA. Ndio maana unakuta vitu ni gharama hasa nyumba na Viwanja. Thamani ya Nyumba au kiwanja ni wapi kinapatatikana. (LOCATION). tambua ilo Kuanzia Leo
Kigamboni ipi hizi nyumba zipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom