Dar Es Salaam mji unanuka vinyesi; wanajenga maghorofa lakini hawajui vinyesi vya hao wapangaji vitakwenda wapi!!! Samora avenue inanuka sababu ya maji machafu; kuna manhole cover pale opposite Twiga bank corp imefumuka na kutililisha maji machafu muda wote!!! Uchafu ndio usiseme, hakuna utaratibu wa kueleweka wa uzoaji taka mji mzima!!!