AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
mwanza tanzania
Mantinki haswa ni nini na kwa manufaa gani?
no my friend, mwanza na arusha ziko sawa tu kiuchumi. hapa sishindanishi mwanza na arusha, nashindanisha mwanza na kigali nikiwa na maana kwamba kelele zoote rwanda wanapiga kwamba kigali imepiga hatua, saizi yao kujilinganisha hapa tz labda iwe mwanza na arusha na hiyo mwanza iliendelea tangu zamani tofauti na kigali wanaoona magorofa siku hizi.mtoa mada umeongea kana kwamba mwanza iko nyuma kimaendeleo ukilinganisha na arusha which is not true.
ya rwanda umeona wapi? picha zote nimeweka hapo ni za Mwanza, hakuna hata picha moja ya Rwanda hapo. tafuta za Rwanda uweke tuzione.Nimeona ya mwanza na ya rwanda ni safi ya rwanda lakini tatizo ni rais wao huwa hana mazoea ya kutabasamu ni kununa tuu na tafauti na wetu kutwa kucha ni kutabasamu basi kila sehemu huwa bla bla ili mradi gurudumu leinde tu na inchi yetu bado changa na ikieva itakuwa kama dubai
Mwanza ni best zaidi ya Arusha kwa mpangilio mzuri wa majengo na lake view na hata population ni kubwa, ila Arusha hali ya hewa ni best kuliko Mwanzamtoa mada umeongea kana kwamba mwanza iko nyuma kimaendeleo ukilinganisha na arusha which is not true.
Naona rwanda imeisha wachanganya sana,yani mnataka kujilinganisha kwa kila kitu,kwanini msianzie pk na jk? halafu mwende katika kupambana na rushwa? kumbuka mji wa kigali umeanza kubadilika juzi juzi baada ya genocide na cha maana ni usafi majengo mengi au makubwa si hoja..kigali nasifiwa kwa usafi nafikiri inabidi kutofautisha kati ya majengo na usafi.jamani, nimefuatilia sana mji wa kigali, na sifan yiingi kwa kagame na wanyarwanda kwamba wameendelea, kana kwamba watanzania hatujaendelea kama wanyarwanda, au kama vile mji wa kigali ni mzuri kuliko hata miji ya tz. nimechukua kamji kamoja tu ka tz ambako ni MWANZA, nimeacha Arusha na Dsm kwasababu najua kigali iko nyuma sana na haina uwezo kujilinganisha na dsm au arusha in terms of mzunguko wa pesa namajengo (watatushinda tu usafi hapo nimenyosha mikono). hebu tutupie picha za mwanza hapa na ninyi mnaowinda interahamwe najua mtakuja kwa hasira, tupieni picha za kigali tuone basi.
ZIFUATAZO NI PICHA ZA MWANZA.
View attachment 179684