Kigali Mbali . . . Kigali Mbaaali Tukumbukane . . .

Mazee Superman, Mji wa kigalikwa jinsi ulivyouona msafi na umepangika vizuri. Nina rafiki yangu yuko kule anasema kuna siku Kagame mwenyewe huamua tu kuingia front na kukagua mji wake. Kwa hiyo hutegemei hata siku moja ukakuta eti mtu kaweka gereji au banda la mama ntilie sehemu bila utaratibu. Hao wadada sitaki kusema maana huyo jamaa yangu ni mgogo wa chinangali ke Dodoma anategemea kuwa na ka-project na binti wa kinyarwanda next year mungu akijalia uhai....Sikumshangaa hata kidogo bada ya kunionyesha picha ya mtuhumiwa...!!
 
Wakati kaanchi kenyewe ni kama mkoa wa mbeya au iringa tuu!
Big up Kagame waache watz waendelee na porojo

Kama ndo hivyo mbona Moshi pametakata madhari nzuri kuliko DSM?
 
Kwa sis wenyeji wa Ngara haya ya kawaida, hata wa kwetu wako bomba pia..ila wachache na wa kutafuta unlike Kigali......utadhani wamemwagika!
 

Daah! Kagame anatuharibia lakini . . . sio poa kabisa!
 

OH MY GOD! Can this one fall for poor ugly Kishimbe wa Kishimbe?
And I hope daddy in law will forgive me for my angry remarks I make about those who happen to 'crooss our line!'
I HOPE, SLOWLY, GOD WILL HELP US COOL OUR TEMPERS AND FIND HOW STUPID WE HAVE BEEN!
GOD BLESS AFRICA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…