Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Taarifa nilizozipata hivi punde kupitia breaking news ya ITV watu 3 wamekufa na saba wamejuruhiwa katika mgodi wa Buhemba uliopo mkoani Mara baada ya kufukiwa na kifusi.
Mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu Amina
Mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu Amina