bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Karibu sanaTangu nilipolizwa na Ile kampuni ya sunranch nazishtukia sana hizi Dili za dezodezo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Please nipe nami madam
Pole sana kwa yaliyokusibu
Mbona nilifuta jamanii 😃😃😃Pole sana kwa yaliyokusibu
Why mtu atoe elfu 7 kwa GB 4 pekee hapo ameokoa buku tu!! Si bora ajiunge Airtel SME apate GB say 22 kwa elfu 20 au GB 35 kwa Elfu 30 yaani auziwe GB kwa Ts 900 hivi
Line inakua upgraded tu inakuwa na Menu ya SMEs yaani package kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo. Kikubwa uwe na Nida number na obvious TIN number hata kama sio ya business otherwise anakuchongea mwenyewe.Hii ikoje?
Malipo KABLA YA KAZI.Tangazo OFFER
Anaetaka kifurushi Cha halotel cha wiki
TSHS 7000 - GB 4 ,NJOO INBOX CHAP
UKIJA NJOO NA NAMBA YAKO NA PESA MFUKO WA SHATI
Tuma namba hapa 0621082183
MALIPO YOTE HUMU
0711225854 TIGOPESA
MALIPO KABLA YA KAZI
SawaMbona nilifuta jamanii [emoji2][emoji2][emoji2]
NdioMalipo KABLA YA KAZI.
Hizo GB zinakuwa valid hadi mwisho wa mwezi au ndio inakuwa week 2 tu ushamaliza elfu 30 yako.Line inakua upgraded tu inakuwa na Menu ya SMEs yaani package kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo. Kikubwa uwe na Nida number na obvious TIN number hata kama sio ya business otherwise anakuchongea mwenyewe.
But all in all menu ndio inakua hivyo
View attachment 2825059
Mie natumiaga zinabaki GB 5 kila mwezi. Na hapo huwa natumia 4G muda wote na haikwami kwami nikiwa naangalia movie au mpira online.Hizo GB zinakuwa valid hadi mwisho wa mwezi au ndio inakuwa week 2 tu ushamaliza elfu 30 yako.
Unajiunga kipi hapo?Mie natumiaga zinabaki GB 5 kila mwezi. Na hapo huwa natumia 4G muda wote na haikwami kwami nikiwa naangalia movie au mpira online.
Mimi natumia tigo huwa najiunga GB 48 kwa elfu 40 mwezi mzimaUnajiunga kipi hapo?