Kifurushi cha internet mwezi bei rahisi.....

Mimi hawa Tigo kasi yao haijawahi nilidhisha labda huko Dar; au hii month plus inakasi zaidi.., anyway ni GB ngapi hicho kujaribu sio vibaya
kama unavyoona kwenye attachment hiyo kaka , kifurushi hiki kinakupa 3GB kwa download na unlimited GBz kwa kubrowse mwezi mmoja. zinapoisha zile za kudownload utatumia PD proxy au guru kwa ajili ya kudownload . I hope you know the magic behind
 
yaani tigo ndo mtandao naonizingua network kuliko yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…