Nitakuwa na tatizo gan kifua kuwaka moto na mgongo hasa wakati wa usiku.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;
- Kuchoka choka sana bila sababu maalum
- Kuuma mgongo au kiuno
- Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
- Kizunguzungu
- Kukosa usingizi
- Usingizi wa mara kwa mara
- Maumivu makali sehemu ya mwili
- Maumivu ya Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
- Kichefuchefu
- Kiungulia
- Tumbo kujaa gesi
- Tumbo kuwaka moto
- Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
- Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
- Kutapika nyongo
- Kutapika damu au kuharisha
- Sehemu za mwili kupata ganzi
- Kukosa hamu ya kula
- Kula kupita kiasi
- Kusahahu sahau na
- Hasira bila sababu.
Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.
AU INAWEZA KUWA NI MARADHI YA NGIRI YA KIFUA :
UNAIJUA Ngiri ya Kifua (Hiatus Hernia)? ...Huo ni ugonjwa, tundu linalotokea baada ya sehemu ya juu ya tumbo kuingia kifuani kupitia uwazi ujulikanao kitaalamu kama ‘esophageal hiatus’.
Kimsingi, ni uwazi unaopitisha mrija wa chakula kwenda kwenye tumbo. Ni kawaida Watu wenye umri wa miaka 50 na zaidi, ndio wanaopatwa na maradhi hayo.
Lakini nayo imegawanyika katika namna nyingi, kama ifautavyo:
Sliding type; Hiyo ni aina ya ngiri inayotokea wakati sehemu ya juu ya utumbo inaposukumwa juu na kuingia kwenye upenyo wa esophagus hiatus kama matokeo ya ongezeko la presha katika maeneo ya tumbo na hurudi katika hali yake ya kawaida wakati presha inapopungua.
Fixing type; Inatajwa kuwa Ngiri Kifua, ambayo hutokea wakati sehemu ya juu ya utumbo inapokuwa kwenye maeneo ya kifua na haishuki chini.
DALILI ZAKE
Kwa kawaida, aina hiyo haijionyeshi dalili zozote, hadi mpaka pale ugonjwa umeshajijenga sana.
Baadhi ya dalili zake inapokuwa imekomaa sana, ni pamoja na maumivu kifuani, vichomi vikali wakati wa kuinama au kulalia mgongo.
Pia, inaelezwa ni hali inayoendana na kuongezeka mapigo ya moyo, kumeza chakula na kupumua kwa shida.
Mambo yanayosababisha kuugua ngiri:
Uvutaji sigara.
Uzito uliopitiliza.
Matumizi ya dawa za kulevya.
Msongo wa mawazo.
Mtatizo ya kurithi.
Kunyanyua vitu vizito.
Kuinama kwa muda mrefu.
Kukohoa kwa muda mrefu
Ujauzito.
Vyoo vya kukaa nk
MATIBABU Kwanza kam ulivyo shauriwa nenda kapime hospitali tupatekujuwa maradhi yako nini? Kisha ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa mawailiano na mimi. Herbalist Dr.MziziMkavu What's App +44-7459-370-172