Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
kabisaaa...! Alileta usanii, Duu hapo inabidi amuombe kifo aanzie tu hapo mwanzo kwan hana pa kutokea!Imekula kwake
ooh! Sory bt nadhan ni suala la hisia tu.Inatisha haichekeshi!
alikosea huyo angeliondoa kabisa jina lake kutoka kwenye orodha.........ni kama alijitakia tu maana kwa kuliweka mwisho hilo jina lake ni kwamba lazima angeondoka tu si tayari alishakuwepo kwa list ingawa alijiweka mwisho!
Inatisha haichekeshi!