Kifo ni nini? naomba mchango wako.

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Kifo ni
" usingizi, ila usingizi huu hauta amka milele"
Wewe unasemaje?

Kwamba ukifa zaidi ya kulala tu milele
hakuna hukumu
Hakuna nini wala nini ni mwendo wa kulala milele.
 
Kifo ni
" usingizi, ila usingizi huu hauta amka milele"
Wewe unasemaje?

Kwamba ukifa zaidi ya kulala tu milele
hakuna hukumu
Hakuna nini wala nini ni mwendo wa kulala milele.
Hapana ndugu; kifo kinaweza kuwa cha asili au cha kimazingaumbwe. Huwezi kuamini kwamba vifo vingi vinaanzia na kifo cha mazingaombwe na baadaye kifo cha asili hufuata. Kifo cha mazingaombwe kinasababishwa na shetani na kundi lake. Kifo cha asili ni kitu tofauti kabisa na pia ni kitu kitukufu sana kwani kinatoka kwa Mungu na ni mwaliko wa kuishi maisha ya utukufu na yasiyo na taabu wala mwisho huko Mbinguni. Ila ni kwa wale wanaoishi vizuri na wasio na ushirika wowote na shetani.
 
Back
Top Bottom