nsangaman JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 275 Reaction score 42 Dec 28, 2011 #1 Kuna siku itafika kifo kikikuona kitakuwa kinatoka nduki.Hapo hakuna kufa,hata ukijining'iniza kwenye mti na kamba haufi ila cha moto utakiona.Unagongwa na gari haufi.
Kuna siku itafika kifo kikikuona kitakuwa kinatoka nduki.Hapo hakuna kufa,hata ukijining'iniza kwenye mti na kamba haufi ila cha moto utakiona.Unagongwa na gari haufi.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,371 Dec 28, 2011 #2 Hapo cha msingi usilikimbize,kula bata nenda slowly but sure.