dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Kabisa mkuu halafu kwanin tukio la mauaji yake kupinduliwa kwake liwe recoded tena live jmnUlivyosema why apinduliwe march 11 nimewaza ya kuwa umekaa umewaza kwamba kuna watu waliwatuma wale simba maadui zake wamuue tarehe hizo si ndio!??
Hakika wew upo pamoja na mimi safi wewe ni GT [emoji23]Sometimes ukishindwa ku-express feelings zako wazi wazi unatafuta tukio tu ndio unalitumia hilo, mfano, Kama umeoa na mkeo amechoka kuamka kuwaandaa watoto waende shule, na anataka umsaidie au uone kama anafanya kitu ili u-appreciate basi utamsikia anasema "acheni kunisumbua, mnadhani mimi sichoki, kazi kulala tu, hata mimi nachoka, nina mwili wa nyama" ukishasikia maneno kama haya ujue anayesemwa sio mtoto/watoto bali hii meseji ni yako.
sioni tofauti na hili la leo, anyway wacha maisha yaendelee.
sawa DrHakika wew upo pamj na mm safi wew ni GT [emoji23]
Ingia twiter na insgram ,tukio hilo limepostiwa na watu mashuhuri sana wabunge ,mawaizi na hadi madiwani kina kitenge ,milad ayo embu zama ujione mkuuMimi hadi sasa hilo tukio sijalielewa.
Nimeona taarifa zake ila sijaelewa maana nzima ya hilo Tukio kwamba ni uhalisia au kuna jinsi ilivyo, au ni taarifa imetumwa kwa njia ya huyo mnyama, kuna vitu vingi sana nafikiriaIngia twiter na insgram ,tukio hilo limepostiwa na watu mashuhuri sana wabunge ,mawaizi na hadi madiwani kina kitenge ,milad ayo embu zama ujione mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vingi sanakuu dalali mkuuu nami nafikiria singeweza kuwasilisha vyoteNimeona taarifa zake ila sijaelewa maana nzima ya hilo Tukio kwamba ni uhalisia au kuna jinsi ilivyo, au ni taarifa imetumwa kwa njia ya huyo mnyama, kuna vitu vingi sana nafikiria
Kiufupi lipo jambo kubwa litatokea. Ccm wame jichanganya nakufikiri Magufuli ndio mbaya wao kumbe sio. Well tusubiri MudaEti mamlaka zinasema aliweza kutawala kwa kipindi cha miaka mitano yeye na kaka ake ,majaribu 10 ya kumpindua ziligonga mwamba hadi juzi march 11 ndio zikafanikiwa...jmn ukitafakari kwa makini unaweza ukajiuliza why apinduliwe march 11 kama sio kuna kapicha kinatumwa dhid ya mtawala aliyetangulia jins alivyo angushwa katika utawla wake kwa kipindi hiki hiki.
Ni kweli kuna mtu au mtawala alitaka kujenga ngome yake ila ilishindikana kbsa kwani aliweza kutawala kwa miak miatano tu kwa mkono wa chuma ,ni sawasawa na simba huyu ambae inasemekana alitaka kujenga ngome yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona wanasiasa wengi wakishare picha na taarifa za simba huyu kufika hadi bbc ,cnn nk...ni jambo la ajabu sana taarifa ya simba huyu kutrend kiasi hiki eti kupinduliwa na wanawe tena aliowalea yeye.
Wakasema tena simba bob junior alikuwa mmkarimu na ni mtulivu anapenda sana kupiga picha na wageni ni hili lilimfanya apendwe zaid na kutrend kwa picha zake mitandaoni ..kwa hili namkumbuka bwana yule
Nawasilisha ila katika uzi huu sijamtaja mtu jina hapa ni tukio tu ndio nimefananisha na utawala flani uliopita.
View attachment 2552431
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app