Kifo cha Natasha McKenna bado kinazua maswali

fakalava

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
4,459
6,027
uploadfromtaptalk1464073392969.jpg

Hili ni tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 8-Feb-2015, lililoyagharimu maisha ya mwanamke mwenye umri wa miaka 37, "Natasha McKenna" ambaye alifariki wiki moja baada ya kupata mateso makali kwenye gereza katika County ya Fairfax Virginia-U.S.A

Kifo cha huyu mama kimeendelea kuibua mijadala kwenye vyombo vya habari hasa mitandao ya kijamii.

Baadhi ya maswali yanayohojiwa ni kama:

1. Ni kwanini huyu mama baada ya kukamatwa na Polisi kwa shutuma ya kumshambulia Afisa usalama kwenye jimbo la Alexandria, Kwa nini alipelekwa kwenye Teresa la county ya Fairfax ambapo hakuna huduma ya watu wenye matatizo ya akili.

1. IIlikuwaje mwenamke ambaye alikuwa uchi akamatwe na wanaume, ambapo inaonyesha baada ya kuanguka walianza kumvalisha nguo, lakini huku wakimpa mateso. Hapa Wanaharakati wanasema kilikuwa kitendo cha udharirishaji.

3. Nguvu iliyotumika kumkamata pale gerezani ilikuwa kubwa, ambapo inaonyesha wanaume 5 wakifungua mlango na kumkamata, huku Askari wa kike wakiangalia tu. Katika Video wakati Askari wanafungua mlango kumtoa nje Natasha anasikika akiwakumbusha mara mbili ahadi waliyomhaidi "You promised wouldn't hurt me".

4. Mateso aliyopewa yalikwa makubwa kuliko huwezo wake, lnatajwa kuwa vyombo vya umeme vilivyotumika vilikuwa ni vya umeme mkubwa (high voltage).

Kutokana na hali hii Wamarekani Weusi na baadhi watu wanaamini kuwa huu ni muendelezo wa Weupe kuwachukulia kama wanyama, na watu wasiofaa kutendewa mema.

Wapo wanaosema hili tukio lilikuwa ni la bahati mbaya Askari hawakukusudia kuua, na hili lilidhihirika baada ya uchunguzi kufanyika na kuwakuta bila hatia Askari wote waliohusika na tukio hilo.

Hakika kifo cha Natasha McKenna kina maswali mengi ya kuhoji.

R.I.P

Angalia hii video.


Natasha McKenna Death.

Fairfax County, VA — Fairfax County Sheriff Stacey Kincaid released a graphic video on Thursday depicting deputies restraining a mentally ill woman and repeatedly tazing her with a stun gun, which resulted in her death. The sheriff decided to release the footage two days after a criminal investigation declined to file charges against the officers for excessive use of force.

Diagnosed with schizophrenia at the age of 12, Natasha McKenna, 37, was arrested by Fairfax police on January 26 for allegedly punching an Alexandria City police officer. Although technically Alexandria’s prisoner, McKenna was held in a Fairfax jail for over a week because Alexandria police officers refused to pick her up and give her a mental health evaluation. Fairfax police could not transfer McKenna to a mental health facility due to the fact that she was Alexandria’s prisoner.

On February 3, McKenna initially began cooperating with Fairfax deputies as they attempted to transport her to the Alexandria jail. But when the deputies placed restraints on her wrists through the open food slot in her cell door, McKenna panicked. According to The Washington Post, a nearby deputy recorded that McKenna yelled, “You promised you wouldn’t hurt me! You promised you wouldn’t hurt me!”

In the newly released video, six members of the Sheriff’s Emergency Response Team, dressed in white full-body biohazard suits and gas masks, along with several uniformed deputies can be seen wrestling the 130-pound mentally ill woman down onto the floor. They continue to wrestle her into a wheeled restraint chair and start to strap her down. In order to secure her into the chair, a lieutenant shot McKenna with four 50,000-volt shocks from his Taser.

With her hands cuffed behind her back, her legs shackled, and a restrictive mask placed over her face, McKenna begins swaying back and forth in the chair. After a few minutes, McKenna becomes unresponsive while a deputy repeatedly asks her if she is okay, but McKenna does not answer.

More than 16 minutes after tazing her, the deputies finally realize that McKenna does not have a pulse and has stopped breathing. After removing her mask, the officers take off her restraints and attempt CPR to revive her.

Twenty minutes later, paramedics were able to revive McKenna in the ambulance en route to Inova Fairfax Hospital. Her breathing stopped three more times before they were finally able to stabilize her, but McKenna’s brain suffered too much damage due to the lack of oxygen. She died several days later.

Instead of attempting to calm McKenna down before transporting her, Fairfax deputies merely escalated a potentially dangerous situation. Diagnosed with schizophrenia, McKenna had every reason to panic when she saw men in gas masks and biohazard suits approach her jail cell and tackle her to the ground.

According to numerous experts, using a Taser on a restrained prisoner, especially a prisoner suffering from mental illness, is considered an unreasonable use of force. And using a stun gun more than three times on a person is also considered excessive.

On Tuesday, Fairfax Commonwealth’s Attorney Raymond Morrogh released a report declining to press charges against the deputies responsible for killing McKenna. In response to heavy criticism for not filing charges against the deputies, Sheriff Kincaid released the full, unedited video on Tuesday to show that her deputies followed standard protocol while attempting to restrain McKenna.

Unfortunately, the video also depicts the subhuman treatment mentally ill patients routinely suffer at the hands of law enforcement. Prisoners with diagnosed mental disorders deserve to be treated better than abused animals. But without proper training and improved policies, officers will continue treating mentally ill patients like hardened criminals.

Terrifying Video Shows Cops Shock a Cuffed, Shackled Natasha McKenna to Death – Cops Walk Free
 
Huyu Natasha alikuwa nani hasa?Muhalifu? Gaidi? Au nani? Na kwanini ashikwe kwa nguvu kubwa hivyo? Huyu Natasha ni nani hasa? Naomba ufafanuzi
 
Huyu Natasha alikuwa nani hasa?Muhalifu? Gaidi? Au nani? Na kwanini ashikwe kwa nguvu kubwa hivyo? Huyu Natasha ni nani hasa? Naomba ufafanuzi
Mkuu Natasha alikuwa ni raia wa kawaida, alikamatwa kwa tuhuma ya kumshambulia Afisa wa usalama.
 
Mkuu Natasha alikuwa ni raia wa kawaida, alikamatwa kwa tuhuma ya kumshambulia Afisa wa usalama.

Duh ni big mistake kumshambulia Afisa sio mchezo,, unafikiri watamuachia hiv hivi bila kumfanyia chochote,na isitoshe ni black woman.

Haya bhana tuendelee tu kuwanyenyekea wazungu, akina US Babies siwaoni hapa njoeni mumtetee Afisa wa usalama
 
Mkuu Natasha alikuwa ni raia wa kawaida, alikamatwa kwa tuhuma ya kumshambulia Afisa wa usalama.

Duh ni big mistake kumshambulia Afisa sio mchezo,, unafikiri watamuachia hiv hivi bila kumfanyia chochote,na isitoshe ni black woman.

Haya bhana tuendelee tu kuwanyenyekea wazungu, akina US Babies Nyani ngabu na wenzio siwaoni hapa njoeni mumtetee Afisa wenu wa usalama
 
Taarifa inasema alikuwa chizi,inakuwaje mtu wa aina hyo akateswe jmn???hta km hawakuwa na lengo la kuumua ila kwa mazingira hyo lzma kuna kitu!!
 
Hii ngozi nyeusi sijui tumekosea wapi Mungu wangu,yaani popote ilipo hii ngozi ni kama tembo wa Seloui katikati ya majangili,leo nimesoma humu India huko mwanafunzi wa chuo kutoka Kongo kauwawa kwa ubaguzi huku tena hivi dah lazima weusi tufanye jambo otherwise hii life style itatuandama daima.
 
Duh ni big mistake kumshambulia Afisa sio mchezo,, unafikiri watamuachia hiv hivi bila kumfanyia chochote,na isitoshe ni black woman.

Haya bhana tuendelee tu kuwanyenyekea wazungu, akina US Babies siwaoni hapa njoeni mumtetee Afisa wa usalama
Hii haikubaliki Mkuu, ni kosa kumpiga Afisa Usalama lakini baada ya kujua aliyefanya hilo kosa ana matatizo ya akili kulikuwa na namna mzuri ya kusaidia.
Angalia upuuzi mwingine, kosa lilifanyika kwenye mji wa Alexandria kwenye gereza la Alexandria wakakataa kumpokea, na ni gereza lenye huduma za watu wenye matatizo ya akili, badala yake wakampeleka Fairfax ambako hakuna huduma za watu hao, huko ndiko walimtesa mateso yaliyopitiliza.

Ukiangalia video yote utaona kuwa kuna ukiukaji mkubwa wa za binadamu na udhalilishaji mkubwa.
 
Taarifa inasema alikuwa chizi,inakuwaje mtu wa aina hyo akateswe jmn???hta km hawakuwa na lengo la kuumua ila kwa mazingira hyo lzma kuna kitu!!
Alikuwa Chizi, why they didn't treat her like a chizi?
Ukiangalia hiyo video utaona makosa makubwa sana ambayo ungedhani wanamshughulikia mnyama.

Mwanzoni kabisa wakati wananfugulia mlango, utasikia Natasha anawambia mara 2 "You promised wouldn't hurt me", lakini walifanya kinyume.
 
Alikuwa Chizi, why they didn't treat her like a chizi?
Ukiangalia hiyo video utaona makosa makubwa sana ambayo ungedhani wanamshughulikia mnyama.

Mwanzoni kabisa wakati wananfugulia mlango, utasikia Natasha anawambia mara 2 "You promised wouldn't hurt me", lakini walifanya kinyume.

Hawa ma pork mahayawani sana wkt mwngne na hpo hatutaacha kuzungunzia ubaguzi wAo,angekuwa chiz mweupe wngemfanyia hvyo kwli??nawaza kwa sauti mkuu kumpiga chiz mpka kumsabishia kifo inackitisha sana!!!!
 
Back
Top Bottom