Ripoti ya Mauaji ya
Mangosi, ndiyo inaanza kubisha hodi kwenye masikio ya watanzania,na
kweli itaamksha tena hisia za yale tulihisi kuwa tumesahau.
Lakini baada ya Vuta nikuvute kuhusu kifo hiki au vifo hivi vyenye
utata? Rais Kikwete kama mkuu wa nchi, Vunja ukimya wako na toa kauli ya
kuonyesha hisia zako juu ya mambo haya yanayotokea kwa watanzania wasio
na hatia.
Chonde chonde Raisi.. Kauli ya Raisi Dhaifu jaribu kama utaweza ifuta .
Tafakari - Chukua Hatua