U utu wangu Member Joined May 10, 2008 Posts 52 Reaction score 3 Dec 2, 2008 #1 waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli? Iam interested in facts not fiction
waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli? Iam interested in facts not fiction
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,879 Dec 2, 2008 #2 Hu told u?????????
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,879 Dec 2, 2008 #3 Pole ndugu yangu hii ndio bongo ukiuliza lazima uulizwe kwanza!!!!
Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member Joined Jan 2, 2008 Posts 586 Reaction score 47 Dec 2, 2008 #4 Aaaah jamani!!Hizo za kweli lakini?
FDR.Jr JF-Expert Member Joined Jun 17, 2008 Posts 1,359 Reaction score 355 Dec 2, 2008 #5 Mseminari Amatus Liyumba Yuhai na buheri wa afya. Ninyi tu na roho zenu.
Utamaduni JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 1,279 Reaction score 600 Dec 2, 2008 #6 FDR.Jr said: Mseminari Amatus Liyumba Yuhai na buheri wa afya. Ninyi tu na roho zenu. Click to expand... Mmmmh! hiyo tetesi ndugu yangu alinitishua(alinishitua). sasa nilitaka kufikiri kuwa kifo kipo au kinaletwa na mazingira. Mungu amjalie maisha mema na marefu kama alivyotuahidia sisi sote.
FDR.Jr said: Mseminari Amatus Liyumba Yuhai na buheri wa afya. Ninyi tu na roho zenu. Click to expand... Mmmmh! hiyo tetesi ndugu yangu alinitishua(alinishitua). sasa nilitaka kufikiri kuwa kifo kipo au kinaletwa na mazingira. Mungu amjalie maisha mema na marefu kama alivyotuahidia sisi sote.
Mambo Jambo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2008 Posts 1,100 Reaction score 83 Dec 2, 2008 #7 Hii kitu inakujaje hapa, Mods?..
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,218 Reaction score 17,369 Dec 2, 2008 #8 Kwani huyu bwana ni nani au anhusika na ufisadi wa EPA??????????????
K Kipanga JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 676 Reaction score 40 Dec 2, 2008 #9 Mr. Zero said: Kwani huyu bwana ni nani au anhusika na ufisadi wa EPA?????????????? Click to expand... ....EPA wapi???? Inasemekana jamaa mtu wa pure leather sana!!!!
Mr. Zero said: Kwani huyu bwana ni nani au anhusika na ufisadi wa EPA?????????????? Click to expand... ....EPA wapi???? Inasemekana jamaa mtu wa pure leather sana!!!!