Kifo cha DC Mkoani Mwanza

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
184
Reaction score
9
Kuna tetesi kuwa Mkuu wa wilaya mmoja mkoani Mwanza alikuwa akitibiwa huko India amefariki dunia dunia , mwenye uhakika tunaomba atumwagie hapa.
 
nipo mwanza, sjapata taarifa kama hizo, nikinasa ntakujuza
 
Habari hizi ni za kweli, aliyekuwa DC wa Ilemela Mwanza Lt Col. Serenge Mrengo amefariki akiwa kwenye
matibabu huko India.
 
naogopa sana kusema chochote hapo nisije nikawa kama waliowahi kusema....
 
Confirmed: Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya RFA ya saa 10 ni kwamba Lt.Col Mrengo DC wa Ilemela amefariki akiwa India kwa matibabu

Sijui ni coincidence ama maana mwaka jana DC wa Nyamagana C.Rugarabamu naye alifariki akiwa huko huko India kwa matibabu....

R.I.P DC Mrengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…