Kifo cha CCM

Mshamba mkuu na limbukeni mkuu lazima akiuwe chama ni suala la muda tu .
 
Masimu feki ya kichina,
Kama ni mafanikio ndio haya kwenye nchi yenye mali kibao basi watawala wetu wana mtindio wa ubongo.

Ni sawa na mwanafunzi aliepata asilimia 30 kwenye mtiani alafu mzazi kilaza kama wewe unasema mwanao amepata mafanikio eti amefaulu,aibu
 
Mwisho wa CCM ni mwaka 2020 ambapo chama hiki kitafutika kabisa ndani ya bara la Afrika na kusahaulika. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali kuwarudisha hawa mafisadi na wachumiatumbo wakubwa madarakani.
Endelea kuota ndoto za mchana kweupee,labda wewe ndio utafutika,CCM itatawala miaka 100
 
Ndugu, pokea ukweli.

Wengi wanaopinga maovu yanayofanywa hivi sasa, sio wanaonufaika , ila wanapinga chama kinavyoharibiwa.

Chama kimejenga vijana wake kwa muda mrefu, leo nafasi wanapewa watu waliocjukiwa na vyama vyao na walikaribia kubwagwa, wakamwaga manyanga na kukimbilia ccm. Wale waliosata uhai wao wote, na waliokipigania chama kwa nguvu zao zote wamekuwa si chochote na lolote.

Chama kimeshikwa na watu wasiotumia busara. Kinachotakiwa ni kujirekebisha, kusikilazana na kuheshimiana.
 
Usitegemee kama kitaondoka tumejijenga toka chini kwenye mashina hadi juu tofauti na vyama vingine vya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…