Kifo cha CCM

CCM imeshaishi zaidi ya ilivyostahili. Wasipokubali kufa kwa hiyari watalazimishwa kufa na wananchi.
 
Tupo pamoja sana ndugu yetu hii ccm haitakiwi hata na shetani
Mwisho wa CCM ni mwaka 2020 ambapo chama hiki kitafutika kabisa ndani ya bara la Afrika na kusahaulika. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali kuwarudisha hawa mafisadi na wachumiatumbo wakubwa madarakani.
 
Mwambie huyo bendera fuata upepo kama kina Nape wameiona ccm ni mzigo yeye huyo Nani?
Kuwa mpole kada mtiifu wa ccm! Mna miaka michache sana ya kuvaa hizo nguo zenu za kijani.
 
Plus uongozi bora.Karibu Quinine mtaa wa pili tujenge nchi
Ina maana vyama vyote vya ukombozi barani Afrika vilivyokufa vilikuwa havikujisimika vijijini isipokuwa CCM pekee.
 
Mbadala ni chama kipi sasa?
 
Ndoto za mchana ccm ipo na itakuwepo na kama mlishindwa kuizika enzi zile sembuse enzi hizi? Chama kikiongozwa na comrade asiyeyumba JPM ,mtasubiri sana,
 
Poleni sana endeleeni kuota laiti mngelijua msingeongea hata..
Sasa kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi utakao enda vizuri tena kwa haki kama wa 2020 na kura mtapiga na nabhata msipige atapita tena kwa nderemo na vifijo.
 
Ndoto za mchana ccm ipo na itakuwepo na kama mlishindwa kuizika enzi zile sembuse enzi hizi? Chama kikiongozwa na comrade asiyeyumba JPM ,mtasubiri sana,
Jemadari asiyeyumba anayejificha nyuma ya Msiba...ha ha haa!
 
HUENDA NI MAKAKATI WA CCM KUWAZUBAISHA WAPINZANI KUELEKEA UCHAGUZI.
 
HUENDA NI MAKAKATI WA CCM KUWAZUBAISHA WAPINZANI KUELEKEA UCHAGUZI.
 
Tatizo ugomvi wa CCM ni ugomvi wa dola kwa taarifa yenu misako inaendelea watu wanakagua madaftari ya lodge na guest house kujua nani kalala katoka wapi na anafanya nini.

Huku kwenye mihadhara ndio mainforma wanahaha kuwatafuta wasiounga mkono juhudi kama hauko vizuri please chungeni michango yenu sasa kuliko wakati wowote manake wengi watatupwa kwenye viroba au kupotezwa.

Jana nilipita Iringa na kukuta mjadala wa stand kuhamishiwa igumbilo na usumbufu wanaopata abiria kumbe walioanzisha ndio mainforma kutoa hoja kwamba uamuzi huo ni wa kijinga ghafla jamaa kainuka kaenda kuniletea polisi nikamatwe wakati yeye ndio kaanzisha mada na wapiga debe wanamjua wakasema wanaogopwa kuwekwa ndani wakitoa mawazo yao.

Nilipata gari late nikaingia Dar usiku sana nikachukua lodge Kinyerezi saa 11:30 wamevamia watu wanakagua dafatari la wageni na jina likitally na namba ya simu hakuna shida sasa sijui ndio wanenda kudukua au vipi. CCM wanatumia mkono wa chuma tahadhari ni muhimu sana.
 
Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwa
Wewe akili yako finyu unadhani kila anayezungumza huku ni Chadema.Ama kweli,mbona hicho chama mnakipandisha hadhi hivyo. Inaelekea haulali ukifikiria Hilo lichama,angalia Uta kufa na pressure kumbe hata unayempigia gitaa haelewi ni muziki gani unacheza na anaendelea kukushangaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…