Kifo cha CCM

Nimesoma makala yako nakugundua kuwa ubongo wako una uvimbe au huenda hukumaliza dozi yako huko Milembe Hospital, huwezi kusema CCM ni chama ambacho hakuna cha maana kilichofanya wakati wewe mwenyewe hivyo vi simu na labtop ni matunda ya ccm, bila chama hiki kuiimarisha Serikali ambayo iliingia mikataba na Mataifa mbalimbali nakupewa masafa ambayo wewe leo unayatumia kutupia upuuzi na utumbo wako humu mitandaoni. Pia barabara unazotumia ni zao la usimamizi mzuri wa serikali ya ccm, huduma za Hospitali ambako kila unapougua Kaswende yako huwa unatibiwa na Madaktari waliosomeshwa kwa fedha ya serikali ya ccm. Kifupi huna akili.
 
Reactions: Oii
Wacha porojo wewe dogo, Ccm haijawahi msaidi mtanganyika isipokuwa Tabaka LA viongozi mafisadi
 
Ndiyo maana huna uwezo wa kuandika sentesi zinazofikia 50 au zaidi kutokana na uvimbe kwenye ubongo wako, kama sentesi mbili tu unatukana, zikiwa nyingi itakuwaje?
Wacha porojo wewe dogo, Ccm haijawahi msaidi mtanganyika isipokuwa Tabaka LA viongozi mafisadi
 
Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwa
Kwa wale woooote wenye akili timamu wanajua kuwa CCM imeshajifia,sasa kuna genge linalotumia mabavu ya bunduki na mabomu ndiyo tunapambana nalo. CCM haipo tena.
 
Ccm ipo ila wabadili mitaala kuwafundishia vijana wao.wengi ni wanafiki Wachumia tumbo.wamasifia nakutoa maoni ya kinafiki wakilenga uteuzi.kulikuwa hakuna sababu yamsukuma,bashe,millya nawengine kuujibu waraka Kwani aliyeshutumiwa wazi ni Musiba.
Ifike waikati walio kwenye mamlaka wateue watu wanao toa rangi zao halisi yaani wanajambo wanasimamia na wako tayari kilitetea sio bendera hufuata upepo.Mkiteua wanafiki mnua vipawa.
 
Imejisimika sana vijijini kwenye zile remote areas hilo hata ww Quinine unalifahamu usitake kujitoa ufahamu.Nyumba ni msingi.
Ina maana vyama vyote vya ukombozi barani Afrika vilivyokufa vilikuwa havikujisimika vijijini isipokuwa CCM pekee.
 

Wewe ndiye huna akili, kwahiyo kwa miaka 60 yote waliyotawala wananchi unawaaifu kwa kuleta internet? You must be crazy lady. Sorry kumbe siyo lady
 
Wewe ndiye huna akili, kwahiyo kwa miaka 60 yote waliyotawala wananchi unawaaifu kwa kuleta internet? You must be crazy lady. Sorry kumbe siyo lady
hata kama si ladya acha tumwite lady tu mana hakuna namna kwa watu kama hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…