Jamii forum nayo ni muuaji mkubwa wa ccm...kila siku ni kujadili na kuanika ubaya wa ccm na kuwapa mikakati cdm jinsi ya kuimaliza ccm. Kwa kweli Jamii furum imewaunganisha wana_Tz wote duniani na kuwa kitovu cha kujadili na kutoa solutions...nao wanastahili pongezi!