B bin ladeni Member Joined Aug 13, 2013 Posts 56 Reaction score 13 Jul 22, 2014 #21 Ebu mwacheni mzee wa watu apumzike panapomstahili kama peponi basi ale raha zake na kama jehanamu basi aungue sawa sawa sisi hayatuhusu. Tufanye yetu ya Nyerere hayatuhusu
Ebu mwacheni mzee wa watu apumzike panapomstahili kama peponi basi ale raha zake na kama jehanamu basi aungue sawa sawa sisi hayatuhusu. Tufanye yetu ya Nyerere hayatuhusu
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Jul 22, 2014 #22 LBG said: Yalikuwa mazungumzo baada ya habari na shabban kisu au tumbo risasi.... Click to expand... hivi ben kiko yupo kweli huyu mtu..?
LBG said: Yalikuwa mazungumzo baada ya habari na shabban kisu au tumbo risasi.... Click to expand... hivi ben kiko yupo kweli huyu mtu..?
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,167 Jul 23, 2014 #23 Katavi said: Asante sana, nitaenda kutembelea huko makumbusho Butiama Click to expand... Wewe unasema Butiama wakati mwenzio kakuambia kiko butihama
Katavi said: Asante sana, nitaenda kutembelea huko makumbusho Butiama Click to expand... Wewe unasema Butiama wakati mwenzio kakuambia kiko butihama
Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,480 Jul 23, 2014 #24 Nazjaz said: Thibitisha kama ni kweli ile fimbo haikuwa mpingo ila jini Click to expand... Kama kweli, Watu wote washindwi kukabeba kafimbo kadogo ila yeye Nyerere tu ndio aweze kukabeba kafimbo hako, wee hauni kama huo ni uchawi? (sio kawaida)
Nazjaz said: Thibitisha kama ni kweli ile fimbo haikuwa mpingo ila jini Click to expand... Kama kweli, Watu wote washindwi kukabeba kafimbo kadogo ila yeye Nyerere tu ndio aweze kukabeba kafimbo hako, wee hauni kama huo ni uchawi? (sio kawaida)