ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Ni chuo ambacho kimeanzishwa rasmi 2011 na mwaka jana wakafanya mahafali ya kwanza pale kariakoo na mgeni rasmi akiwa makamu wa rais Dr Billali
Chuo ni kichanga na kinatumia majengo ya kukodi yanayo endelea hapa ni kuwa
1)juzi kati hapa tulikuja na Makamu wa rais Dr Billali kuweka jiwe la msingi hapa Bagamoyo katika kijiji cha KIRUMO kuashiria kuwa ujenzi wa chuo utaanza rasmi January 2015 likafanyika
2)leo tena ni mahafali ya pili na mgeni rasmi ni BENARD MEMBE
3)umeanzishwa mfuko ujilikanao BENARD MEMBE FOUNDATION ambao utakuwa ukiongozwa na chuo cha bagamoyo kuwasomesha wale wasio kuwa na uwezo na wakependa kusoma chuo hikii lakini mfuko huu utasaidia pia wanafunzi wa vyuo vingine kudomeshwa
4)chuo cha BAGAMOYO mwakani kitadahili wanafunzi kwa mara ya kwanza katika kozi ya VETERAN MEDICINE ambayo inatolewa na SUA tuu sasa na UNIVERSITY OF BAGAMOYO nacho kitakuwa kinatoa
5)kina walimu wengi lakini wengi wao ni wale wa part time kutoka UDSM na vyuo vingine
Kuna mabaya pia lakini hayo siku nyingine so kwa leo ni hayo karibuni UB