Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,011
- 811
Yote mkuu,ila moja linasikia tofauti la lingineHearing Aid.. Vipi huyo mtoto ameptwa na tatizo kwa madikio yote au moja?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndugu wa nje dada angu mhm nawasikiaga tu..sina yani ningepata ingekuwa msaada mkubwa lakini ndio hivyo tena..Tafuta kwenye website au kama una ndugu nje anaweza kupata cheaper brandy
Ninakuelewa[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndugu wa nje dada angu mhm nawasikiaga tu..sina yani ningepata ingekuwa msaada mkubwa lakini ndio hivyo tena..
Nitakutafuta mkuu kwa maelezo zaidiMkuu mimi nilinunuliwa hearing aid 400,000 kwa ajili ya sikio moja kipindi nasoma. Nilipima pale regency years back wakanirefer duka linaitwa 'Sakina' kama sikosei.
Sawa hapo wanaita Asymmetric hearing loss!Yote mkuu,ila moja linasikia tofauti la lingine
Nipo morogoro..Sawa hapo wanaita Asymmetric hearing loss!
Ila Hearing Aids ina msaada kidgo sana kwa walengwa
Ile mashine wakati mwengine sauti haieleweki!! Uko wapi nnazo mashine hizo mbili mapya kabisa nilipewa na Star key Foundation shirika la Marekani
Bima ninayo mm mdogo wangu hana mkuuHAUNA BIMA?
Sawa nawezakupa kwa kipimo cha utu!Nipo morogoro..
Bima haihusiki kwa kitu cha kununua hata miwani.Bima ninayo mm mdogo wangu hana mkuu
Ahsante snaa mkuu..yeye masikio yake hayapigi kelele....sema hapo kwenye laki nane mkuu ndio shida...Mkuu kama masikio ya mdogo wako yanapiga kelele sikushauli ununue mashine hizo maana utapoteza tu hela zako nina mdogo wangu alikuwa anasikia kama uyo wako ila masikio mdogo wangu anavyosema ni kuwa anasikia kelele masikioni tulimpeleka kupima wakadai anunue hizo machine tukanunua machine hizo laki saba alivyovaa machine kelele zikazidi ilibidi hasizitumie tena zile machine zina msaada kwa wale waliozaliwa hawasikii au wasio sikia kelele kwe masikio yao