Kifaa cha kunolea visu

Kifaa cha kunolea visu

Ummylard

Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
30
Reaction score
2
Knife sharpener available for only 10000/= karibuni
 

Attachments

  • 1398161112164.jpg
    1398161112164.jpg
    22.1 KB · Views: 119
Napatikana Tabata kimanga Dar. Kama upo Dar unahitaji unanipa ur No ili nikuletee
Kwa maana ingine its free delivery kwa wakazi wa Dar
 
Mie bado mshamba, naiona kama blender vile..!
 
Ngoja nisubiri baada ya miezi miwili nikanunue k/koo kwa 6000/=mnaotaka kuanza kumiliki anzeni tu mm nitafuata
 
Back
Top Bottom