Kidume cha Kanda Ya Ziwa....

Asipo muelewa hapo sasa basi tena jamaa atafute mwingine
 
Hahaahhahaa kaona shida kuchuma uwa kaamua amletee mt mzima
 
Jambazi watu wa kanda ya ziwa walikukosea nini?
[emoji23] [emoji23] kuna comment yako moja inanifanya nionekane chizi hadi Leo yaani nikikumbuka naishia kucheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…