Kidume bado kiko fiti ile mbaya...!

Kidume bado kiko fiti ile mbaya...!

Mommadou Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
230
Reaction score
238
LIYUMBA.jpg
 
Rav4 nyekundu hazionekani tena kitaa siku hz!!
Karibu sana kitaa we mpogoro, kule kwenu Nawenge wanekumiss sana.
 
Rav4 nyekundu hazionekani tena kitaa siku hz!!
Karibu sana kitaa we mpogoro, kule kwenu Nawenge wanekumiss sana.
Ilikuwa kila akirudi December MAhenge nzima wanafurahi. Ni kunywa na misosi tu.
 
what do you mean, fafanua sijakuelewa vizuri
Wee mwangalia tu utamuona kama bado yuko fit ile mbaya... ingekuwa mwenzangu na miye umeshachoka ukizingatia haya maneno ya mjini kwamba ameungua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom