Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Oct 1, 2011 #21 Ila waruke kwa umakini maana wanaweza teguka magoti wakashindwa hata kulia hayo madawati yenyewe.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Oct 1, 2011 #22 Kiranja Mkuu said: tuko kwenye mchakato wa kuunda timu ya taifa ya kiduku Click to expand... Wakati wenzetu wanaunda timu ya taifa ya sayansi!
Kiranja Mkuu said: tuko kwenye mchakato wa kuunda timu ya taifa ya kiduku Click to expand... Wakati wenzetu wanaunda timu ya taifa ya sayansi!
Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,393 Oct 1, 2011 #23 hivi chanzo cha huu mchezo ni wapi,imetokana na nini
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Oct 1, 2011 #24 Jidu said: Hawa wanafunzi wakisherehekea kupata madawati mapya!kaazi kwei kweiView attachment 38082 Click to expand... Haahhahha.. safi sana.., hako kadume kanataka kupaa nini!.
Jidu said: Hawa wanafunzi wakisherehekea kupata madawati mapya!kaazi kwei kweiView attachment 38082 Click to expand... Haahhahha.. safi sana.., hako kadume kanataka kupaa nini!.
M Mmbaga_m New Member Joined Oct 1, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Oct 1, 2011 #25 Kiduku ni noooma!hiyo ni prakatatumba au nn jamani?