Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Naomba picha ya hiyo Ndula please
Shukran,
NduleleHiyo ndula ni kitu gani?
Nimeshindwa kuitambua hapo pichaniNdulele
Kwa hapa mjini Dar tutazipata wapi ase ukizingatia hakuna mashamba hukuNdula ni tunda LA mmea linalofanana na nyanya chungu katika namna nyingi. Hutumika kutibu meno pia.
Note: si kila Tiba ya kienyeji ni uchawi. Zingine ni tiba halali kabisa.
Hivi mnadhani kabla ya wakoloni kuleta vidonge babu zetu walitibiwaje?
Mkuu kwa hiyo hii ndio ndula.?
Ndiyo mkuuMkuu kwa hiyo hii ndio ndula.?
Hicho kinaitwa kipesani dawa ndo hiyo hiyo nduraKuna kipindi hapo nyuma wiki iliyopita nliweka post hapa kuhusu kidole changu kilichovimba ikidaiwa kina mdudu ndani, Nilienda hospitalini waliniambia nitumie dawa za ammoxylin na panadol lakini hazikusaidia, Nikabadilisha hospitali nikaenda nyingine wakaniambia nitoe kucha nikaona ngoja nitumie ushauri niliopewa na wana jf wa kutumia Ndula, Hio ndula niliichuma nikaikata juuu na chini na kuipachika sehemu iliyovimba kama vile pete. Nliivaa kwa siku mbili na kidole kimepona kabisaaaa...
SHUKRANI SANA WANAJAMII FORUMS