Watu wote wa hip hop naimani tumeridhia ROMA MKATOLIKI kuchukua tuzo hiyo akiwa kama mkali wao kwani kuna mtu anapinga? nadhani hakuna asante kwaku msapooti bwana huyu.
ROMA deserved dat award,he made it bt wabongo kwa majungu eti alistahili kupewa FID Q ulipiga kura au mbwembwe za mdogo 2.......Kip it up ROMA n neva giv up 2nakupenda na hongera kwa ushindi