Kidiplomasia, inaruhusiwa kupiga picha hivi!?

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,823
719A5086.JPG


Naombeni kujuzwa kama ni sawa kupiga picha ya kiofisi/kiserikali wahusika wakishikana mabega/nyonga!
 
Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!! Demokrasia!!!
 
Mbona ni kawaida kupiga picha watu wakiwa wamekumbatiana? Sioni tatizo hapo.
 
Back
Top Bottom