Emma Piano
Member
- Jun 9, 2014
- 31
- 6
Wana jf tufahamishane ,eti kwa tuliofaulu kidato cha nne tutapangiwa shule lini?,kwa anayefahamu tuambiane jaman.
Urahisi ongea na walimu wako wa shule uliyotoka.
Sifahamu aiseeNimeongea nao ila sijapata ufumbuzi,kama waweza nipe msaada zaidi.