Kumbe unasoma?!Habari zenu.
Naomba mwenye taarifa za lini wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka 2017 watapangiwa shule za serikali kwa ajili ya kuendelea na kidato cha tano anijuze. Au kama tayari wameshapanga niingie kwenye web ipi ya serikali.
Ahsanteni.
Ahsante sanaSikumbuki vizuri mkuu ila nadhani inaweza kuwa mwisho wa mwezi huu wa tano ama wa sita mwanzoni kwa first selection.
aiseee!!!Tuombe tu kuwe na muda wa kutosha kati ya selection kufanywa na shule kufunguliwa vinginevyo itakuwa tia maji tia maji kwa wale watakao kosa selection wakitegemea shule za serikali.
Mungu mwenyewe anajua bwana!!! mambo ya hapa nchini ni kazi kweli kweliKama utaenda private andaa kabisa milion kadhaa za ada kwaajili ya kujisomesha chuo kikuu.
Nchi imefika pabaya sanaMungu mwenyewe anajua bwana!!! mambo ya hapa nchini ni kazi kweli kweli
Naamini ipo siku Mungu atatenda muujiza na kila mwananchi atakuwa na furaha kama sio rahaNchi imefika pabaya sana
Kweli, Mungu ndie mpanga yote.Mungu mwenyewe anajua bwana!!! mambo ya hapa nchini ni kazi kweli kweli
Mungu ndie apangae na ajuae hatma ya mja wake.Mungu mwenyewe anajua bwana!!! mambo ya hapa nchini ni kazi kweli kweli
kuna shule private (hamtapata mikopo) walianza mwezi wa tatu! wakifaulu, mara oh wametazamia, walinunua paper etc!Habari zenu.
Naomba mwenye taarifa za lini wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka 2017 watapangiwa shule za serikali kwa ajili ya kuendelea na kidato cha tano anijuze. Au kama tayari wameshapanga niingie kwenye web ipi ya serikali.
Ahsanteni.