Kidali Poo, Malani Malani ya Nkwere!

Teh teh..............

Twende twende.............Sura kaa Goti
 
Nyani,

Hukusikia juzi akiongea na mashekhena maaskofu alidai Takrima ni vigumu kuondoka akaleta mfano wa Wachagga na Kitochi? Sasa Tendwa na Salva wanadai eti alikuwa anatania... WTF!

yeah, WTF... that sums up everything!!
 
hahahaaaaaaaaa... twende, twende... miguu ka miti ya genge!

really bad that we end up mocking...

si wamesema Rais anapenda matani..

twende twende.. uso umejikunja hadi mtoto akikuona analia mwenyewe...
 
Twende twende........Muone kule,mdomo kaa unapuliza moto.....(kaa Mzee Panga la Shaba vile)
 
Twende twende..................Mikono imekomaa kaa mchimba Makaburi
 
twende.. twende... vidole kama tangawizi!!
 
Ngoja nisome Sura ya 4 ya Kumbatio la mwenye makosa kwanza...Be right back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…