Bungeni; swala la ugaidi chadema ndio walioanza kusema kitu ambacho hakikutakiwa kusemwa hata kidogo. CHADEMA pamoja na kuwa zengwe lote hili laweza kuwa ni mbinu, bado there is no execuse za kuruhusu mbinu hizo na leo kuwa wahusika wakuu wa kesi kama hii
Iko hivi.....Mwigulu tutamtukana matusi yote na kusigina meno kwa hasira na uchungu, lakini impact ya maneno yake ni kubwa, wako wanachadema watakayoyaamini na kupoteza imani na CHADEMA, wako ambao hawatayaamini...WAKO wasio ma chama ambao watayaamini wako ambao hawatayaamini...lengo ni kuondoa imani ya CHADEMA kwa wananchi, na goli likiingia haijalishi limefungwa kwa mkono au la...kikubwa ni kuzuia
sasa swala hapa sio akili inahusika vipi, hizi zinaitwa rafu ambazo kwenye siasa bado zina credit na nguvu kubwa mno.
Kikubwa ni kutulia na kupanga mbinu za kurudisha mashambulizi ili kupata support ya wananchi, ila kubishana bishana huku na kuongea hovyo ili hali kila mtu ana mdomo na haujui opponent wako ana vitu gani anavyojivunia ni HATARI SANA
observer..