rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Jan 20, 2016 #21 uha ha haaa inabidi tuwe makini na hizi ID za upambe nuksi
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 632 Jan 21, 2016 #22 oya vampire umekula maharage ya wapi wewe?
allen lugoley Member Joined Nov 5, 2014 Posts 66 Reaction score 37 Jan 21, 2016 #23 Hahahaa, kweli hii ni fungua mwaka! account zaid ya mia?!!
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,153 Jan 23, 2016 #24 Mtu mrefu huona mbali lakini hawezi kuiona kesho
TANZANNIA JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,047 Reaction score 385 Jan 24, 2016 #25 naona wote mliocheka,mnacheka jinsi jamaa avyojimix na id zake si kichekesho.
MarianaTrench JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,212 Reaction score 942 Jan 25, 2016 #26 Ha ha haa. Nikikuwa sitaki kucheka. Umejitahidi kunifanya nicheke...
monaco JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 2,184 Reaction score 1,779 Jan 25, 2016 #27 vampire_hunter007 said: Habari wakuu, Mi mgeni humu naomba niwachekeshe...... Hata pilipili inawasha lakini haiwezi kuwasha gari Hahahahahah Click to expand... Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile...
vampire_hunter007 said: Habari wakuu, Mi mgeni humu naomba niwachekeshe...... Hata pilipili inawasha lakini haiwezi kuwasha gari Hahahahahah Click to expand... Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile...
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,970 Jan 25, 2016 #28 Hahaha
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,696 Reaction score 5,546 Jan 25, 2016 #29 vampire_hunter007 said: Acha ujinga wewe Click to expand... vampire_hunter007 said: Kha! Sorry mods naomba muifute iyo comment apo juu, nlidhani nimecomment na account yangu nyingine, kumbe nlisahau kulog out Click to expand... Hahahahaha ni muendelezo wa kichekesho au ni kweli una id nyingine?
vampire_hunter007 said: Acha ujinga wewe Click to expand... vampire_hunter007 said: Kha! Sorry mods naomba muifute iyo comment apo juu, nlidhani nimecomment na account yangu nyingine, kumbe nlisahau kulog out Click to expand... Hahahahaha ni muendelezo wa kichekesho au ni kweli una id nyingine?
Go mi num JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 1,321 Reaction score 1,609 Jan 27, 2016 #30 Sijui kwanini mimi sijacheka.... Hvi bandama zipo kweli
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jan 27, 2016 #31 We jamaa kiboko hahahaha
S succinate coA hydrogenase Senior Member Joined Dec 30, 2015 Posts 185 Reaction score 223 Jan 27, 2016 #32 duh nimecheka hadi machozi
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,034 Reaction score 2,638 Jan 27, 2016 Thread starter #33 monaco said: Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile... Click to expand... Hahahaha, Preta kanibania. . . Kuja mishkaji miwili Sooth na moto2012 walikuja kunivurugia
monaco said: Mkuu vipi Preta ulishamtongoza?mpa mistari?alikubali na Mzee ulishagonga ngozi ile... Click to expand... Hahahaha, Preta kanibania. . . Kuja mishkaji miwili Sooth na moto2012 walikuja kunivurugia
G gynama Member Joined Jan 14, 2016 Posts 62 Reaction score 13 Feb 9, 2016 #34 Leonard Robert said: Mambo ya ID nyingi ha ha ha kweli jf kuna mambo Click to expand... Kaumbuka hahaaa
Leonard Robert said: Mambo ya ID nyingi ha ha ha kweli jf kuna mambo Click to expand... Kaumbuka hahaaa
babi Member Joined Jul 24, 2012 Posts 79 Reaction score 109 Feb 9, 2016 #35 Dah nimecheka kweli jamaa kajimix kinoma
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,289 Reaction score 31,917 Feb 11, 2016 #36 huyu jamaa PUMBA kabisa.
cosie1993 Member Joined May 27, 2015 Posts 44 Reaction score 17 Feb 11, 2016 #37 nimefurah xn... jamaa ni tatzo.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 Feb 13, 2016 #39 Mpaka leo bado kuna wanaovutia bangi chooni??
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 657 Reaction score 515 Feb 13, 2016 #40 Kumbe humu watu wanaandika thread na kujijibu wenyewe. Sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe.