Sente!
Nirushie basi doo ya ndimu!
Kama umekosa Kiroba cha kuniwekea ndimu niwekee hata kwenye pakacha.
aaaaah kumbe ni hiyo
mi nikajua bibie @ynna
kitu tayari,kichef chef kimehamia
kwako shem kumbe ni muuzaji na L zake hahahahaa!!
Shem nlipata mshtuko wenye raha ndani yake nkajua dada yangu anatuongezea namba.. Ila anyway me mwenyewe mtu anaeongea hivyo ananisumbua
Afu shem! Umenikumbusha! Hivi nawewe nini mbaya? Masiku yote haya!
Sijakusiakiaga unatuulizia udongopemba! Au Loya usingizi mwingi ?
aiseee my Passion Lady miss you.
aiseee my Passion Lady miss you.
Daah shem!
Okey dhanio lako halitaanguka chini, now nitakua naisimamia baiskeli hata mteremkoni !