Kichaa mmoja alitoroka Mirembe saa saba ucku alipovuka eneo la hospitali akavua nguo na kuzitupa na kuanza kutembea mtupu kama kawaida ya vichaa, kufika njiani akakutana na kundi la watu wakiongozwa na manyau nyau (mganga wa jadi)wakiwa kwenye harakati za kukamata wachawi, walipomwona wakaanza kumkimbiza "mchawi huyoo mchawi huyoo" kichaa akawaambia;
Kichaa: Mimi siyo mchawi
Raia: kama siyo kichaa iweje uko naked ucku? ungekuwa mwizi ungekuwa na silaha yeyote, ww ni mchawi
Kichaa: Mimi ni kichaa nimetoroka mirembe ka vipi nikawaoneshe mahali nilipozitupa nguo zangu.
Raia: Kichaa gani unajua wewe ni kichaa
Kichaa: hakuna mtu asejua yeye ni nani mbele ya kifo
Raia: Tutaaminije kama wewe kweli ni kichaa
Kichaa: Rahisi tu, naenda nyuma ya nyumba kisha nyinyi ambianeni jambo lolote ambalo mkimwambia kichaa, atalijibu kikichaa
Raia: Haya nenda
Kichaa alipofika nyuma ya nyumba akasepa mazima na kuwaacha raia na manyau nyau wao as vichaa