Nilikuwa napenda sana michango ya kibwana Dachi wa Magic Fm kwa sababu ya kuwa objective lakini sasa inaelekea uchambuzi wake unaanza kuegemea upande mmoja na labda ataweza kuwa Msemaji wa serikali Magic Fm.

Sina uhakika kama ni njaa ama nguvu za mbinyo kutoka mamlakani ila ki ukweli yeye ndiye alikuwa yupo neutral Kati ya wale watangazaji wanne ila sasa taaratibu naona anaegemea kuwa mtetezi wa Mamlaka mf asubuhi ya leo 10/04/2018 juu ya kudorora kwa shughuli za gas kusini yatz(mchango wa Nape bungeni)