Kibuti nouma guy's

pole sana usidhani hapa ndio nmwisho wa kuachwa maana unawza pata mwingine nae akakumwaga. uasijali utazoea na maisha yataendelea.
 
Chalii wangu usijali sana, nikukute pale Sanawari nikakukamatishe mmoja pale Masai aisee
 
naona ulikua una date na kilaza maaana hata haja appeal to logic ili kama huo mtoso ulopewa uwe na uwiano hasahasa na vitu kama hivyo but all in all this story of yours is practically untrue..mtazamo tuu huu
 
HorsePower umesahau kuwa tukio la karibuni aise
Hebu funguka mkuu macho usome between the lines uone ni zao la watu gani

Hahaaaa, hii litakuwa ni zao la standardization aiseee, matokeo yake ndo haya!!!
Hakuna maamuzi yaliyonikera kama standardization, yaani mtu amefeli then mnamuongezea maksi kirahisi tu ili mradi kujifurahisha na kubadili rekodi ionekane mwaka huu watu wamefaulu. Matokeo ndiyo tunapata madokta feki, profesa feki, madaktari feki ambao wanafanya upasuaji wa kichwa badala ya miguu nk nk au kuwa na hawa viongozi ambao wanazungumza pumba na matusi bungeni!
 
hawakawii kusamehe hao mkuu wewe tulia kidogo,ipo siku utamla tuu wala ondoa shaka!!umesahahu formula ya wanaume kuwa ukisha mvua mtu chupi hana ujanja tena!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…