Kibuti kimeback fire... Nacheka kama vile mazuri

😂😂😂All rights reserved au received jamaniiiiii turudi kwenye mikekaaaa
 
Hamna mapenzi ta hivyo Aggy.. Jamaa ndio anampenda dada ila mwenzie walaaaaa ndio maana haogopi kumuacha akipata baby mupya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile formula ya mpenzi imejishihirisha hapa..
Unayempenda hakupendi...anayekupenda Humpendi...

Sasa dada ajitafakari aende wapi.atajua mwenyewe.
Wengi tunakua blinded na upendo wa kweli tulionao kama ilivo kwa huyu kaka na kupuuza ukweli hatupendwi..kiasi kwamba inakua too late kuamua.
Hamna mapenzi ta hivyo Aggy.. Jamaa ndio anampenda dada ila mwenzie walaaaaa ndio maana haogopi kumuacha akipata baby mupya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua urachukia. Umeandika ki -teeneger sana. Wanaume huwa hatusimulii tunavyoumiza mashangazi. Tunakufa na vicheko vyetu rohoni. Don't dare do it again,buddy!
 
Nimemuelewa dada amefuata moyo wake kwa anaowapenda. Akiwa idle ndio anamfuata anapopendwa.
Hizo huruma dhidi ya wanaotupenda hatuwapendi sio nzuri kimahusiano maana inakufanya uishi kinafki. Mapenzi ni furaha. Wote wawili muwe na furaha juu ya mwenza wako. Haya ya mtu anaekupenda akuuuuu. Unamridhisha mwengine wewe unaumia ndani kwa ndani.
Ni sawa na upendo wa mshumaa. Unammulikia mwingine wakati unateketea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walinzi wa getini tulimwambia ex wako kwamba umetuambia tumwambie haupo , kwani tuseme uongo unatulipa na mshahara wakutenda zambi au kukaa getini tu , ndo maana akakilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hupendwi Dada akiwa mpweke tu anakumbuka msukule wake ndio anakutafuta
 
Ndio ndio
 
SONGA MBELEE, ILA KUWA NA MSIMAMO, UNAYUMBA YUMB SANA NDUGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…