Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Ruuuudi bana, kwasasa amekua ile ilikua utoto.
 
Very touching .. Ilinikuta hii and I'm so glad it happened because the way I was before not the same as I am today .. I thank God for his season then and the season I have right now ....Thanks...

Hongera, ila nikisoma huu ujembe kwa mbaaaali naona kama una miss those old days!
 
Kabadilika sana hata simu usipopiga ndo hapig tena na ukimpigia anapokea kama hataki nooo simtaki tens now nishaanza kuzoea mwache na life na si utoto huo ni ulimbuken mwanaume kua na wanawake weng wengine wana laana zao unawaumiza mwisho unaanza kufulia unajiuliza ni nn kumbe ni laana uchungu na maumivu ya mioyo yaooooo
 
nakumbuka aliniuliza kwanini unaning'ang'ania si utafute mwingine. aisee sitakaa nimsahau yule mmachame
 
njoo kwangu
 
Hehehehehe Dah watu wengine bhana
 
duh.... nimechekaje, mwanzo hukuiona pua kubwa. Ila mwanamke anayekuponda mbele za watu sioo mstaarabu, kwani we ulimtokea mbele ya kadamnasi? bora tu uachana nae, atakuja kukuaibisha kwa kukosa ustaarabu

Wala skumtokea mbele ya watu, nlikua mimi yeye na rafiki yake mmoja. alikua keshaanza kukubali kabisa.
 
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.

Hahahaaaa!! Duuuh umenikumbusha kibuti nilichowahi kukitoa yaani kimya kimya bila taarifa mwenyewe akaisoma namba, akipiga sipokei, msg sijibu nilipokuwa naishi nikahama, baadae na namba nikabadili, cha kimya kizuri sn
 
We plan B muhimu, mie niliwahi kugombana na mtu akaniambia hawezi kuendelea na mahusiano,nikamjibu poa, baada ya 2wks akasikia nina mtu mwingine, weeeee nilifanyiwa kila aina ya fujo wakati yeye ndio aliamua tuachane! Wanaune cjui wana nn!
 
Tuna expect kuon Ex wetu wakipata mtu asiye tuzid, Hapo utajisemea atanikumbuk yule. Kumbe kafulia kweli i was ryt to let her go. Ila akipata mtu aliyetuzid, tunaon kosa na kuanza kusumbua.
Hipo kote kwa ME n KE
 
Mimi nakumbuka way back, damu inachemka. Nilikuw na date na mabinti wawili, halafu walaikuw wanajuan bt hawakujua kuwa na date nao wote.
Kuna kipindi wakaligundua hilo, walicho amua, wakaa stay na machungu moyoni, wakaliaaa. Weee. Badae wakasema ngoja tumkomesh huyu bazazi, baba…! Nikipiga game na huyu, mwenzie anajua nae anaomba kesho yake. Damn, sasa nikawa natumika hatari. End of the day kun mmoja alinipenda zaidi akanambia bot hiyo ishu. Nikapiga chini wote
 
Tuna expect kuon Ex wetu wakipata mtu asiye tuzid, Hapo utajisemea atanikumbuk yule. Kumbe kafulia kweli i was ryt to let her go. Ila akipata mtu aliyetuzid, tunaon kosa na kuanza kusumbua.
Hipo kote kwa ME n KE

Mmmh ila kwa me imezidi jamani, kuna me mna fujo jamani, khaaaah!! Na hiyi ndio inatakiwa ukibwagana na mtu kuwa na alomzidi aisee rahaaaaaa
 
Kuna watu wana mioyo!! Sharing while knowing? Hapo mbona na wao walijikomoa sasa, walitakiwa wakupangie booonge la mkomo ili ukome
 
Hongera, ila nikisoma huu ujembe kwa mbaaaali naona kama una miss those old days!

Yeah right ... not even a single wish.. He is the one now suffer and begging looh. Not for a second ..I'm totally not available. Thanks..
 
Mmmh ila kwa me imezidi jamani, kuna me mna fujo jamani, khaaaah!! Na hiyi ndio inatakiwa ukibwagana na mtu kuwa na alomzidi aisee rahaaaaaa

Kun girls ni crazy sana...wanahuwezo wakaend mfanyia fujo binti wa watu live live....ila man hatuna hizo mambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…