Kiburi na Kaburi

Afe mara ngapi.. huyo aliyeshika box ni mzimu wa aliyekufa 2017 kwa kupigwa risasi 24 Dodoma. Mnadili na nafsi yake
 
Eti niache kula zangu kitimoto nimkumbuke fala kama lisu au mwehu kama pole pole??

After all kufa kila mtu atakufa,yeye lisu kama ameona jela kuna mfaa aonewe huruma kwa lipi kichaa yule
Mna account nyingi nyingi mpaka mnajichanganya 😁😀
 
Mwanaume vitani hufa amesimama wima, kwa Wakurya. mwanaume haamuliwi kabla ya kupigana.
 
Magufuli alikuwa jeuri kuliko hata hicho kimama kizanzibar kifupi chenye mguu mmoja mrefu na mwingine mfupi lakini leo Magufuli yuko wapi?? nina kuhakikisha Samia atakufa na atamuacha Lissu anapumua.

Kuna mtu bungeni alikuwa jeuri kama Ndugai?? au Tulia, ?? leo wako wapi??
Unamfahamu Omary Mahita?? alikuwa ana kiburi sana, leo yuko wapi??

Hivyo, Lissu hawezi kumnyenyekea mtu ambaye hakusoma sana. Lissu ni Mtanganyika halisi, hawezi kumnyenyekea Mzanzibar.
Lissu siyo Mbowe.
 
Lissu?

Hakuna mtu mpumbavu na muoga kama Tundu.

Mpiga kelele tu na mtu mjinga wa mwisho.
 
Unaumia ukiwa wapi?
 
ushakula pilau sasa kwa shemj unajaba sio?

Fakendaken - Mchelee
Kajambe nyuma mm sio wa saizi yako yaani unamuwaza shemeji yako ndio muokozi wa maisha yako pole sana nakulisha wewe, shemeji yako na familia yake takataka kabisa wewe
 
Kajambe nyuma mm sio wa saizi yako yaani unamuwaza shemeji yako ndio muokozi wa maisha yako pole sana nakulisha wewe, shemeji yako na familia yake takataka kabisa wewe
mimi nimekua nikimlisha mama yako na kumhudumia mpaka sirini.

Bahati mbaya alizaa pugha kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…