Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,196
- 5,055
Mwisho wa uhai ni KIFO, tena Mimi nikiwa nimepiga mvinyo kwani kifo ni nini?Sifa, Kiburi, Jeuri.
Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana
Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana.
Unadhani watakukumbuka? Haha .
Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya watu wema.
Tulikuambia nenda malizana nae ukajiona mjanja.
Sawa mwanetu ( Ropo ropo)
GM- Summy Russia
haha hawa wacheza kibao kata akina Juma lokole?Mwisho wa uhai ni KIFO, tena Mimi nikiwa nimepiga mvinyo kwani kifo ni nini?
Kwa vyovyote lissu , polepole watakumbukwa vizazi na vizazi
min -me , ndio naanza weekend muda huu tupige Tungi kakaaa
Labda kama una babu yako anayetumia jina la Mandela. Otherwise, Mandela tunayemjua sisi hakuwahi kuwapigia magoti watesi wake!Sifa, Kiburi, Jeuri.
Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana
Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana.
Unadhani watakukumbuka? Haha .
Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya watu wema.
Tulikuambia nenda malizana nae ukajiona mjanja.
Sawa mwanetu ( Ropo ropo)
GM- Summy Russia
uzuri hamna akili.Labda kama una babu yako anayetumia jina la Mandela. Otherwise, Mandela tunayemjua sisi hakuwahi kuwapigia magoti watesi wake!
Hahah sawa.Dua la Kuku....
Nasikitika tu kwamba hautauona Mwisho wa Kesi hii wewe hapo ulipo....
Wangese ni nyinyi machoko mnaopumuliwa na AbdulSifa, Kiburi, Jeuri.
Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana
Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana.
Unadhani watakukumbuka? Haha .
Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya watu wema.
Tulikuambia nenda malizana nae ukajiona mjanja.
Sawa mwanetu ( Ropo ropo)
GM- Summy Russia
Mvungi unamkumbuka wewe na sio juma lokolehaha hawa wacheza kibao kata akina Juma lokole?
Nani amamkumbuka tena Mvungi, jasusi alieasi Mtikila?
Haha amuijui dunia.
Anakumbukwa Yesu na Mtume tu boss
Mandela aliwafokonyoa ccm wa huko kama anavyowafokonyoa Lissu hapa nchiniuzuri hamna akili.
Unadhani Ndela alipewa nchi kiboya tu.
Jidanganye.
Shida mnajifanya mnajua kumbe boga tu.
Endeleeni na umandela fakeni mtajua mbele
Nyie machoko mnaopewa buku saba Kwa ujinga wenu siku nchi ikikombolewa mtachagua either mfe au mkimbie nchi.Hahah sawa.
Wenzio walisema jiwe akifa nitapotea.
Njoo Summy Russia najenga kiwanda kikubwana kuwa mtanazania wa kwanza kuwekaza Ulaya kiwanda cha drone.
Mnadhani mimi nawaza kwa hisani ya Elfu 10 mnazoepewa nyie Chapati( Chadema)
Cha kufikirika..kama unaona hapo kuna kesi ya kunyongwa Mtu..basi.akili ya kujenga Kiwanda huwezi kuwa nayo....!!?Hahah sawa.
Wenzio walisema jiwe akifa nitapotea.
Njoo Summy Russia najenga kiwanda kikubwana kuwa mtanazania wa kwanza kuwekaza Ulaya kiwanda cha drone.
Mnadhani mimi nawaza kwa hisani ya Elfu 10 mnazoepewa nyie Chapati( Chadema)
huyo labda mandela wa tandaleSifa, Kiburi, Jeuri.
Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana
Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana.
Unadhani watakukumbuka? Haha .
Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya watu wema.
Tulikuambia nenda malizana nae ukajiona mjanja.
Sawa mwanetu ( Ropo ropo)
GM- Summy Russia
Hakuna unachojua. Vita vya ukombozi sio kilimo cha nyanya—kwamba baada ya miezi mitatu unavuna. Vita vya ukombozi ni harakati endelevu. Sehemu kubwa ya matunda yake hailiwi na first generation ya wapigania ukombozi. Wengi wanakufa kabla ya ushindi kupatikana. Dr. Martin Luther King, for example, didn’t live to see the civil rights he fought for come to pass. That’s okay, no regrets!uzuri hamna akili.
Unadhani Ndela alipewa nchi kiboya tu.
Jidanganye.
Shida mnajifanya mnajua kumbe boga tu.
Endeleeni na umandela fakeni mtajua mbele
Unamchukulia Lisu kama baba yako Wasira eti?Hahah sawa.
Wenzio walisema jiwe akifa nitapotea.
Njoo Summy Russia najenga kiwanda kikubwana kuwa mtanazania wa kwanza kuwekaza Ulaya kiwanda cha drone.
Mnadhani mimi nawaza kwa hisani ya Elfu 10 mnazoepewa nyie Chapati( Chadema)
Kiburi cha duniani kina mwisho wake, na mwisho huo hautofautishi mwenye pesa, cheo wala jina. Mwisho wa safari kila mmoja anabaki na boksi lake la mbao, bila sifa, bila jeuri, bila ubishi.Sifa, Kiburi, Jeuri.