Kibs,
Tumsameheni inaonekana bado ni mgeni wa jukwaa na amepotoshwa na trend ya posts na threads za jukwaa kuona zinashabikia upinzani tu, kaona ajabu kuwa kumbe jukwaa lina memba wa vyama tofauti...huenda ni kosa lake la kutojifunza mwenendo wa jukwaa au ni makosa yetu kulifanya jukwaa kuwa ni sehemu ya kupinga tuuuuuuuuuu!!!