Mbona hamueleweki, mkiletewa takwimu za mtu kama Ahoua hamtaki...
haya sasa mtu Kazi kama Kibu anayeweza kuvuruga beki line ya timu yeyote,hamtaki...tuwaelewaje?
Haya , Kimataifa anapambania ufungaji bora, mpaka sasa ana goli 4 pia hamtaki..!
Dah,Mwaka Wa Tabu...!