Kibonzo: Kama kweli hivi

Wao watakwambia haina noma. Lakini kinyume chake ni uchochezi
 
Ukitaka kudekezwa nenda CCM, upinzani mtulinga mwanzo mwisho.
 
Kweli kila awamu Na kitabu chake, maswala ya kwenda kugonga juisi Ikulu bila sababu za msingi hayapo tena.!

Ushauri Wapinzani wakomae Na hoja Na sio vioja, la sivyo tutasahauliana hapa nchini.!
 
Jamaa akiona ndio sifa na kiburi vitazidi.😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…