utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Nov 13, 2014 #2 Kipanya umeanza lini kushusha suruali?
N ndorobo mkuu Member Joined Oct 26, 2014 Posts 89 Reaction score 30 Nov 13, 2014 #3 Mi mwenyewe hua nikiskia kila kipindi ngoma inarudiwa lazma niulize vijana 'vp jamaa mzima!??'
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 19, 2014 #4 Ni ya kweli kabisa
Nyamgluu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 3,160 Reaction score 1,727 Nov 19, 2014 #5 Kipanya ana akili sana! Sijui ni asilimia ngapi ya waTZ humpata vizuri huyu jamaa?
Gogo la choo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 708 Reaction score 293 Nov 19, 2014 #6 Aisee Kipanya ni noma sana..hii kitu nakubaliana nae kwa 100%..juzi alipokufa Geez Mabovu Redio ya Wafu kwenye kipindi chao cha mchana waliweka kipindi maalamu cha kuplay nyimbo za marehemu..wakati yupo hai hawajawahi kufanya hicho kitu..
Aisee Kipanya ni noma sana..hii kitu nakubaliana nae kwa 100%..juzi alipokufa Geez Mabovu Redio ya Wafu kwenye kipindi chao cha mchana waliweka kipindi maalamu cha kuplay nyimbo za marehemu..wakati yupo hai hawajawahi kufanya hicho kitu..
Ezekiely Charlese Member Joined Dec 19, 2013 Posts 74 Reaction score 13 Nov 20, 2014 #7 Hilo ndo tatizo la sanaa bongo big up kipanya kwa kuwafundisha