Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi yeye na serikali yake watatoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia elimu ya chekechea hadi vyuo vikuu.
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni zao leo zilizofanyika Dar es salaam
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni zao leo zilizofanyika Dar es salaam